Jinsi ya Kuweka Video Kwenye Blogger/Blogspot

By ndesanjo

Baada ya huduma ya kublogu ya Blogger kununuliwa na Google, nilidhani kuwa wangeboresha huduma zao haraka. Naona hawana haraka. Bado zana kama WordPress zinamwezesha mtumiaji kufanya mambo mengi zaidi na kwa urahisi.

Lakini wiki hii Blogger wametoa habari njema, sasa unaweza kupandisha video kama jinsi ilivyo rahisi kupandisha picha. Yeeeee! Kwa watumiaji wa Blogger, kazi kwenu. Tuleteeni video zenu. Bonyeza hapa usome jinsi ya kutumia huduma hiyo.

4 Responses to “Jinsi ya Kuweka Video Kwenye Blogger/Blogspot”

  1. Jikomboe » Mwongozo: Kupandisha Video Kwenye Blogger Says:

    [...] Kama wewe unatumia Blogger/Blogspot na unapenda kujua jinsi ya kuweka video kwenye blogu yako, bonyeza hapa. [...]

  2. Ahmad Michuzi Says:

    asante kwa huduma mpya kwa wadau wa blog, je ukubwa wa file linatakiwa liwe size gani ili lisichukue muda kuupload

  3. Nevadian Says:

    Somehow i missed the point. Probably lost in translation :) Anyway … nice blog to visit.

    cheers, Nevadian.

  4. Nairobian Perspective Says:

    Asante sana Ndesanjo kwa blog hii yako ambayo ina wezesha wananchi wengi waweze kua na ujuzi kiasi kuhusi technologia la blogging

Leave a Reply