Jinsi ya Kuweka Video Kwenye Blogger/Blogspot

Baada ya huduma ya kublogu ya Blogger kununuliwa na Google, nilidhani kuwa wangeboresha huduma zao haraka. Naona hawana haraka. Bado zana kama WordPress zinamwezesha mtumiaji kufanya mambo mengi zaidi na kwa urahisi.

Lakini wiki hii Blogger wametoa habari njema, sasa unaweza kupandisha video kama jinsi ilivyo rahisi kupandisha picha. Yeeeee! Kwa watumiaji wa Blogger, kazi kwenu. Tuleteeni video zenu. Bonyeza hapa usome jinsi ya kutumia huduma hiyo.

Advertisements

9 Responses to “Jinsi ya Kuweka Video Kwenye Blogger/Blogspot”

 1. Jikomboe » Mwongozo: Kupandisha Video Kwenye Blogger Says:

  […] Kama wewe unatumia Blogger/Blogspot na unapenda kujua jinsi ya kuweka video kwenye blogu yako, bonyeza hapa. […]

 2. Ahmad Michuzi Says:

  asante kwa huduma mpya kwa wadau wa blog, je ukubwa wa file linatakiwa liwe size gani ili lisichukue muda kuupload

 3. Nevadian Says:

  Somehow i missed the point. Probably lost in translation 🙂 Anyway … nice blog to visit.

  cheers, Nevadian.

 4. Nairobian Perspective Says:

  Asante sana Ndesanjo kwa blog hii yako ambayo ina wezesha wananchi wengi waweze kua na ujuzi kiasi kuhusi technologia la blogging

 5. ABDALA SULEIMANI Says:

  nataka niweke video kwenye blog yangu tafadhari nisaidieni

 6. mc kilaga Says:

  naitaji niweke picha na habari zangu nifanyaje nisaidieni

 7. e liquid Says:

  I’ve learnt a great deal in so little time from merely browsing
  your website alone. It’s so revitalizing to get all
  the information from one document rather than reading through
  numerous write-ups to find all the related information in drips and drabs.
  Thanks for taking to time to put together this superb
  posting.

 8. Ramadhani nyembedodo Says:

  pande hizi za goweko leo kuna mvua sana ni 18-10-2014

 9. davidsonsalazar819 Says:

  i hope this new Israel prime minister would bring peace to the palestinian authority and its people. And I hope this guy would be better prime minister than Ariel Sharon. Know it’s also up to Hamas leaders to cooperate with Israel, new leadership. Come on http://tropaadet.dk/davidsonsalazar819081845

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s


%d bloggers like this: