JINSI YA KUTUMIA MWONGOZO HUU

Njia rahisi ya kufaidika na mwongozo huu ni kutazama kona ya maudhui (isemayo “categories”) ambapo utaweza kujua unataka mwongozo kwenye eneo gani. Ingawa mwongozo hu unalenga zaidi wale ambao hawajaanza kublogu, kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuwa ya manufaa hata kwa wale ambao wameshabobea kwenye ulimwengu wa blogu. Nakushauri uanze kusoma Utangulizi. Sehemu hii unaweza kuipata kwenye kona ya maudhui.
Karibu sana.

Advertisements

147 Responses to “JINSI YA KUTUMIA MWONGOZO HUU”

 1. Charles Mwakyagi Says:

  I want register as a bogger.

 2. Charles Mwakyagi Says:

  Thank you for registering me as a blogger. It’s only today that I noted to have been registered since April 13th, 2007 at 12.55pm.

 3. markus honorius Says:

  i want to have a blog

 4. markus honorius Says:

  i will very happy if i have my blog and i think i will try to learn more on how to provide a good bog to the audiences

 5. markus honorius Says:

  i need a blog from wordpress.com,and entries to RSS

 6. Charles Mwakyagi Says:

  Why my name does not appear in the alphabetical order?

 7. Mohammed George Says:

  Naam mkubwa habari yako nimekupata vizuri na hapa nakuonysha kweli kama mimi ni mwana mtandao kama japokuwa sijafikia hata theluthi yako lakini mashallah. kwanza nakuomba nakuomba msamaha kwa maneno makali nilokutumia kwenye user page ya http://sw.wikipedia.org/wiki/User:Ndesanjo. nilichukia sana kitendo cha wewe kuifuta ile kurasa ya hip hop ya bongo baadae nikagundua sababu iliopelekea kurasa ile kufutwa kisha nikaona kweli pale nilikosea.

  sasa mkubwa mimi binafsi na kuomba radhi manake bado nahitaji kuweka makala nyingi tu ili mradi kuhufamisha ulimwengu vipi wa tanzania tulivyo sasa ikiwa kama wewe ni mkubwa wa wikipedia kwa upande wa lugha ya kiswahili nakumba uniachie huru na ile kurasa ya hip hop ya bongo nitairudisha lakini kwanza nakumba mkubwa unikubalie kwa ilo

  kisha kila makala ambayo mimi nitaiandika nitakuwa nakuomba kama ushauri vipi inatakiwa maelezo ya wepo au wewe mzee wangu unaonaje?

  nina maana kwamba mimi nina uwezo wa internet mda mwingi na muda kufanya hivyo ninao sasa basi nataka nkusaidie na kuna kurasa nyingi tu ambazo mimi nimeziweka ni zaidi ya 16 zinazo husu muziki na filamu nimeona msg ya front page kwamba una furahi sana kuona vijana wengi wanajiunga na kuanza kueleza mambo ya muziki na filamu ni mimi peke yangu nilioandika makala zote hizo za filamu na muziki

  mimi peke yangu nime account zisizo pungua 16 au zaidi sasa nimeonyesha moyo wa kutaka kuandika makala na mwenye umeona ninajuhudi kiasi gani manake mimi naweka mpaka picha kuna baadhi ya wikipedia naweza kukuandikia ambazo mmi nimeweka maelezo na picha
  ni nyingi sana mzee wangu we chunguza utaona hizi makala zaidi ya ambazo zenyewe zinahusu mambo ya muziki na filamu zote nime ziunda mimi na hamna mtu wmingine mikija nakutana na marekebisho

  nadhani ni uliye kuwa unazirekebisha kurasa zile
  sas mkubwa naomba ushirikiano wako na msaada maana wewe ushapita mpaka wazungu wamekupa kurasa uzi hariri basi wamekukubali sana nahitaji msaada wako ili niweze kujenga makala niyingi

  wako
  Mohammed George.

 8. nasir Says:

  a\s.
  jamani nasikia sk. wetu alkhalily anaumwa je hajambo.

 9. sitta Says:

  mambo natka kujiunga na WANABLOGU

 10. Metta,A.H.N Says:

  Mwanawani mimi cna blog na nataka nifungue blog ila maelezo yananipiga chenga,maana wengine ha2japitia mafunzo ya computer

 11. Lucas Says:

  thanks a lot brother, natamani kuwa bloger pia, Mungu akubariki sana kwa msaada wako, i hope tutakutana zaidi katika ulimwengu wa blogu

 12. Mamitto Says:

  i like this site
  im also struggling to build my blog, ni kazi ngumu sana but kwa msaada wa sites kama hii naamini i will HIT MY TARGET
  THANX BRO.

 13. Mamitto Says:

  i like this site
  im also struggling to build my blog, ni kazi ngumu sana but kwa msaada wa sites kama hii naamini i will HIT MY TARGET
  THANX BRO. U CAN VISIT MY BLOG AND ASSIST ME GROW

 14. Mamitto Says:

  http://mapenziyangu.wordpress.com/

 15. Adinani Shabani Says:

  Nina ipenda sana Blogh

 16. Elwizzy Says:

  Ebhana nahitaji mwongozo wa kuset blog yangu na kuitangaza pia

 17. Elwizzy Says:

  Ebhana nahitaji kutangaza blog yangu

 18. Abdul luswaga. Says:

  Me abdul nimejiunga na blog hii.

 19. Abdul luswaga. Says:

  Mambo wana blog me mzima.

 20. dawson robozi Says:

  dawson robozi ninaomba mwongozo wa kujiunga na blog hii ili niweze kutoa taarifa mbalimbali na elimu katika jamii nitashukulu sana nipo kagera open university of tanzania

 21. Amani Devid Says:

  I want to join

 22. JACKSON MTATI Says:

  abwa kaka we uko juu hakuna mpinzani juu yako

 23. Kivuluga Says:

  Wanablogu nielekezeni namnayakufungua akaunti ya google

 24. Mussa wilson Says:

  Thank you

 25. Mussa wilson Says:

  I want to join

 26. Mussa wilson Says:

  Nahitaji kujua njisi ya kutumia computer

 27. sospeter anthony Says:

  nahitahi kuweka vitufe vya kazi katika blog yangu

 28. asha abdalah Says:

  naomba kuwa napata habari na katika mtandao

 29. Ntalingula Jmt Says:

  i want to join

 30. PRINCE MKALAWA Says:

  NAITWA PRINCE MKALAWA NI MZALIWA WA NJOMBE,NAWAPENDA SANA WANABLOG WOTE TUKUTANE KWENYE TOVUTI YA MARAFIKI CHAT MTANIPATA KWA http://Www.princemkalawa.com

 31. Jackson wilison Says:

  Sasa mbona mimi sijajua kutumia blog yangu

 32. raphael msigwgwa Says:

  niaje baba mzazi so kama vile nimefungua eimal lakini jinsi ya kutumia ni mjanga.

 33. Alphonce H Mrindoko Says:

  Naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha email mpya na web mpya kwani natamani kujua lakini sijui kitu juu mitandao hii. Nilijaribu kuanzisha email ila kila nikijaribu kutumia naandikiwa `user name and password you entered incorrect’ hivyo sielewi kwamba nifanyeje.

 34. Alphonce H Mrindoko Says:

  Natamani nikawa mmoja wa mabloga lakini uhakika wa email yangu hauja hakikiwa kiasi kwamba nashindwa kujua nifungueje au nianzie wapi.

 35. PAULINA Says:

  Cjaelewa vizuri nielewesheni

 36. paulina Says:

  Nielekezeni jinsi ya kujiunga na google

 37. Ramadhan kibwana Says:

  Arusha Tanzania
  4/10/1970

 38. KAROL ALEx Says:

  kutoka mara bunda,kibara kuna m2 anaitwa joj salva.ana Ulimi kama ng’ombe mref had anaionakesho.kwa ckU Ya kesho anaenda MUSOMA saa/10:00 am. kwenda kukaribisha mwaka MpYa…

 39. KAROL ALEx Says:

  kutoka MSoMa..nawapa hai wana broge wote MwaKa MpYa Huoo Umefika kifuani.¡Mungu awabariki¿i…

 40. Karol Alex Says:

  jaman mwaka mpYa 2cpige fatakiii…..Kama JoJ Ulieko MsoMa……..,¶¶¶

 41. Karol Alex Says:

  paulina 2kUeleweshe nn…?!

 42. anna msangawale Says:

  http://www.msangawale.tz

 43. LIVINUS LIBENT Says:

  Naomba kujua corfermatal code ya facebook maana nilishajiunga zamani ila si ikumbuki

 44. mashauri Says:

  haleluya

 45. rafael msamgi Says:

  karibu katika habari

 46. honest victory Says:

  i wanna regster

 47. honest victory Says:

  i want to be registered as a blogger

 48. lemunge david Says:

  i need to have blog

 49. Goodel J Says:

  nimefungua blog yangu lakini nikitafuta kwenye google siioni… tatizo liko wapi>?

 50. adam atupele Says:

  tupen habari mpya

 51. adam atupele Says:

  nisaidien namna yakujiunga kupata email yangu. nifanyeje? nimetumiwa msg na google niende kwenye http// nimeangaika nimeshindwa. niingilie wapi ili nifanikiwe? nisaidien

 52. adam atupele Says:

  hivi ndivyo inavyo kuwa? au bdo email hajakamilika..

 53. edwin george Says:

  Mwogozo wa namna ya ku-blog

 54. edwin george Says:

  naomba nielekeze mwogozo wa kuglobu kupia email

 55. Salum Says:

  I Want 2 Hav A Blog Bro

 56. Salumchalu Says:

  Naomba Kujiunga Na MwanaBlog Nitashukulu Kama Ombilang Litashugulikiwa

 57. NICHOLAUS HENELIKO Says:

  HABALI ZA JION WAPENDWA

 58. NICHOLAUS HENELIKO Says:

  JAMAN SAMAHAN MM NIMGEN KWENYE BLOG NAHITAJI MSADA WENU TUWE PAMOJA.

 59. NICHOLAUS HENELIKO Says:

  JAMAN MM NATAFUTA MSICHANA AMBAE YUKO TAYALI KUOLEWA MIAKAYANGU 20 YEYE AWENA MIAKA 15-18 ALIYE TAYALI ANITAFUTE KUPITIA 0764181647

 60. Mary Haule Says:

  Tarehe yangu ya mwisho kuingia period ni tar 12/2/2014 ambapo nilienda kwa cku 5 hvyo nkamaliza tare 16/2/2014 baada ya hapo nikaja kukutana na mume wang tar 28/2/2014 baada ya mwez kupita nikagundulika nina ujauzito mpaka sasa.
  SWALI LANGU:- JE NITAWEZA KUPATA MTOTO WA JINSI GANI KAT YA WAKIKE AU WAKIUME?

 61. Franco Says:

  Dah kuna shol mmoja hv ananipenda naskia nami nampenda but sfaham jins ya kumfikia true nam nampenda et nifanyaje

 62. Allychifu Says:

  Nimtanzania nimfanyakaz

 63. jamal mohammed Says:

  Nothing important like a good life

 64. Benitus Bonifas Says:

  nataka kujifunza computer kwanjia ya mitandao

 65. upendo chilimo Says:

  Mungu ni mwema

 66. upendo chilimo Says:

  Miss mimi

 67. TUMWOGOPE MUNGU Says:

  Nahitaji niunganishwe na blog

 68. upendo Says:

  also mi jaman nahitaji kuunganishwa na blog

 69. malota boy Says:

  i,m forgot in the google+

 70. Martin Says:

  yAp

 71. LAZARO Says:

  NEEMA YA MUNGU AICHUNGUZKI

 72. salum Says:

  nataka account

 73. TUMAIN MWAKAGILE Says:

  STUDENT AT A VUMA SEC SCHOOL

 74. TUMAIN MWAKAGILE Says:

  THANK YOU FOR EMAIL

 75. townsend Says:

  n sheeda

 76. Ramerthan Mtoka Says:

  Y

 77. halifa Says:

  sanaa na maisha

 78. abedour mablog Says:

  thanks a lot bro

 79. Shamsi uronu Says:

  jinsi ya kuweka blog yangu hewani

 80. yohana mtweve Says:

  Kuingia katika blog yangu

 81. hemedi fidifoo Says:

  poa saana

 82. hemedi fidifoo Says:

  ilike this

 83. hemedi fidifoo Says:

  i want to have a glob

 84. mandela kanisius ndunguru Says:

  yote yanawezekana kwa imani.

 85. Elibariki Gideon Says:

  Thank you i want to register as a bloger.God blesing you.

 86. JAFARY Says:

  Nawapenda

 87. zainabu samiri Says:

  mambo nafikiri, nyinyi wazima jamani, mi sielewi chochote kuhusu mtandao, apa yenyewe na bahatisha tu naombeni msaada wenu

 88. julius zablon Says:

  how to upload song

 89. julius zablon Says:

  how to upload news and song in my blog

 90. samson shiraga Says:

  HOW CAN I GET MY ADDRESS EMAIL?

 91. samson musa Says:

  naomba msaada namna ya kujiunga na google+

 92. dorice Says:

  Namna ya kutumia computer

 93. karim jumbe Says:

  sina

 94. efrahim augustino Says:

  Jaman napenda kublog lkn bado cjajua jins yakujiunga

 95. Abdillah.mahede Says:

  Dady mom

 96. Abdillah.mahede Says:

  I want to be among of the bloger but issue in the joinig! so please please i need support!

 97. saidi maiga Says:

  tunaitaji msaada wa kaka

 98. JASTINI MNG'ONG'O Says:

  tanzania 2nahitaji kiongozi bora c chama bora

 99. ORY,SIMPLE Says:

  msanii wa muziki wa
  Hip hop almaarufu kama orysimple ambae anahitaji mdhamini wa wakuongoza nyimbo zake kama yukoteyari anaweza kunitafuta kwenye blog hii

 100. ipyana Says:

  Kilimo kwanza

 101. ipyana Says:

  Aje kamanda

 102. john kamafa Says:

  i want to join with blog

 103. john kamafa Says:

  yaa i want to join with blog

 104. Mwamini Says:

  Nataka kujiunga na play google na nina taka kufungua whatsapp

 105. idrisa saidi Says:

  naomba nisajiliwe whatsApp

 106. rafael Says:

  i like this

 107. rafael Says:

  i like dixu

 108. andrew philemon Says:

  andrew philemon: on oct 11 2015 mambo vp? nahitaji kujiunga na wanablogu

 109. RABANI MASUNZU Says:

  Nahitaji kufungua blog yangu

 110. Emmanuel mkome Says:

  Natakakumia blog

 111. Richardson Says:

  revolution is impossible than war

 112. redempter malunguja Says:

  Nataka kujiunga na palm play nipate biblia na tenzi za rohoni na instagram

 113. redempter malunguja Says:

  Nataka kujiunga na palm play nipate biblia takatifu ,tenzi za rohoni na instagram

 114. JOSEPHMWAGU Says:

  NAITAJI KUFUNGUA BROG

 115. isack Says:

  how to create blog

 116. JOSEPHMWAGU Says:

  NIFUNGULIE BLOG NAMBA 0765589610

 117. salim ramadhani Says:

  salim

 118. Ibrahim Says:

  Naomba munisaidie ili kupata paswood yangu

 119. faraji salehe Says:

  farajisalehe37gmail.com

 120. SALUM HASSANI Says:

  Nashukuru kwa ufafanuzi

 121. Emanuel Laurent mtares Says:

  Emanuel Laurent Mtares

 122. kalan daniel Says:

  jinsi ya kupata whatsap

  • Redempter Malunguja Says:

   MWONGOZO KWA WANABLOGU wrote:

   > a:hover { color: red; } a { text-decoration: none; color: #0088cc; } a.primaryactionlink:link, a.primaryactionlink:visited { background-color: #2585B2; color: #fff; } a.primaryactionlink:hover, a.primaryactionlink:active { background-color: #11729E !important; color: #fff !important; } /* @media only screen and (max-device-width: 480px) { .post { min-width: 700px !important; } } */ WordPress.com kalan daniel commented: “jinsi ya kupata whatsap”

 123. Mtukumya Says:

  Ipo poa mwana

 124. Dj Gody mks Says:

  Napenda kujiunga na blog

 125. Mussa Hassan Says:

  Naomba kujiunga na brog

 126. Mussa Hassan Says:

  Mnisaidieni kufungua blog yangu

 127. Mussa Hassan Says:

  Naomba kujiunga na brog yangu

 128. Abubakar mkambile Says:

  Dare_es_salam ya kupiga picha.
  Pinga uchafu

 129. sayimon wisoni Says:

  Wapstar

 130. sayimon wisoni Says:

  Nisaidieni kufungua blog

 131. MICKDADY RAJAB Says:

  Nataka kujifunza jinsi ya kutumia Kompyuta

 132. mansa omary Says:

  mambo vp wadau mko poa

 133. john jolus galus Says:

  i want to know the advantage

 134. timothy harun Says:

  msaada jamani naomba kwa yule mwenye uwezo wa kulitatua tatizo hili kuwa printer yangu haivuti paper tatizo nini?

 135. lugembe kidaha Says:

  comment

 136. jackson joel Says:

  Good services in phone

 137. Abdulhakim s msuya Says:

  Nakushukuru sana ndugu yangu kwa kutujuza haya mimi ni mchanga ktk taaluma hii nitafata maelekezo yako.nitakapohitaji msaada zaidi nitawasiliana nawe.ila nauliza nimesoma taarifa za wanablog wengine kuwa kujiunga ktk blog mashart yake uandike habari 30 kwa kingereza ndio wakukubalie kujiunga je na ktk word press ni hivyohivyo?

 138. Mzinga shomari Says:

  Naomba uniunge brog yang ila web site sina

 139. Amosi Says:

  Mamb

 140. Amosi Says:

  Kaka Nimekupat Xana Mkubwa Na Kuku Elewa Pamoja Xna Uxtuache

 141. Masaba Says:

  jaman ndo nimefungua blogu sijajua jinsi ya kuposti mambo naomba msaada

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s


%d bloggers like this: