MIMI

Ninaitwa Ndesanjo Macha. Pamoja na mambo mengine, mimi ni mwanablogu na mwanaharakati wa mtandao wa tarakilishi na uandishi wa umma. Ninatumia teknolojia ya blogu kusaidia kusafisha fikra zetu Waafrika kwa habari, elimu, maoni, na maarifa. Ninapenda wewe nawe uwe mwanablogu, uwe na uwanja wako wa kuwasiliana na wengine, kutoa habari, maoni, na elimu.

Ukiwa na swali lolote kuhusu teknolojia ya kublogu, wasiliana nami kwa anuani hii:

ughaibuni@yahoo.com

(tafadhali kwenye sehemu ya "subject" andika: mwongozo wa wanablogu) 

Ninapatikana hapa:

http://jikombe.com

http://jikomboe.blogspot.com

http://digitalafrica.blogspot.com

http://cyber.law.harvard.edu/globalvoices/author/ndesanjo-macha/

Advertisements

225 Responses to “MIMI”

 1. Salum Kulunge Says:

  samahani bro Macha nami naomba mwongozo ili nifungue blogu hapa chuoni Mweka Tanzania ili niweze kupata maneno yahusuyo wanyamapori wa Tanzania na Africa.

 2. ndesanjo Says:

  Salum Kalunge, tafadhali nipe anuani yako.

 3. Bertram Lwabulala Says:

  Please! Can you help me to link my web with other user/web owners. I fail to search through different engine such as Google and yahoo.

 4. Justin Kasyome Says:

  Hey bro mimi niko hapa Kigoma Tanzania naomba mwongozo namna na kublogu na kujiunga mtandaoni ili nitoe changamoto ya habari ktk ulimwengu huu wa utandawazi.

 5. Charles Mwakyagi Says:

  I want to become a blogger.

 6. Andrew Kasero Says:

  naomb unisaidie niweze kuwa na blog. ushauri wako ni mzuri

  • HD Mavoice Says:

   Oyoo mnatisha wadau,do huku nisheeda,jamaa kapata viboko sabini kwa kufumaniawa.ningekuwa blog ningepost picha but nataka msaada wajinsiya kujiunga. WADAU MI Hemed M Hussein.PANDE ZA DAR BUT MAHOME BK,yaani BUKOBA.mi ni msaani (HD Mavoice).YAPO FULLM

 7. Charles Mwakyagi Says:

  Thank you I have got my registration since April 13th, 2007.

 8. Suleiman Serera Says:

  Hello bro.Hongera sana kwa uyafanyayo,umenivutia mno naomba unitumie muongozo nataka kuwa mwanablogu tuweze changia changamoto mbalimbali kwa pamoja.Nipo Dar.Keep it Up!

 9. Theonest Bahemuka Says:

  Naomba kujiunga na wanablogu ili niweze kupata maoni mbali mbali jinsi na namna ya kuanzisha miradi kama ya shule za msingi na sekondari hapa Tanzania

 10. olesja Says:

  american red cross volunteer dental assistant program

 11. Rashid Says:

  Hi Bro Macha! Nipo hapa Libya ninasoma chuo kimoja kinaitwa Islamic call college,ninahitaji msaada wa jinsi ya kufungua blog ninajitahidi mpaka ninapata blog ila tatizo ni kuandika katika hiyo blog. Nadhani umenielewa nisaidie.

 12. Ulinda Ulinda Says:

  habari kaka macha,nipo hapa dar nimevutiwa mno na mambo ya blogu hivyo nipatie mwangozo tafadhali nami nianzishe yangu kuwahabarisha wengine.
  nisaidie tafadhali.

 13. avi09 Says:

  DDGirs com,

 14. avrille Says:

  youporn tv,

 15. Mponjoli D.Mponjoli Says:

  salama kaka we mwanamapinduzi wa ukweli.endeelea kusaidia kizazi cha afrika kwani kuna umuhim wa kufanya mapinduzi ya ubongo kwa vijana wa Afrika kwa njia ya blog.hongera sana

 16. Mathias Says:

  Naomba maelezo jinsi ya kufungua blogu

 17. Dr kihhagaTraditional medicine Says:

  Habari za kazi,mr ndesanjo macha,naomba unipe mwongozo wa kujiunga na blogu na niwe napata taarifa mbali2 za tiba za asili na niweze kuwa mwanachama ktk huduma yako nzuri ya blogu.Nitashukuru sn kwa msaada,kwa mawasiliano zaidi napatikana ktk no.0754018763

 18. GEOFREY MODEST MUSHEMA Says:

  Hallow kaka Ndesanjo, habari za kazi na pole na pilikapilika za kila iitwayo leo. mimi ni kjana wa kitanzania ambaye naweza kujiita mlevi wa uduma za mtandaoni. kwa kweli napenda kujielimisha na hata kuwaelimisha watu wengine kile kidogo ninachoamini kinafaa kuiwafikia. nimejaribu kufungua blogspot yangu mimi mwenyewe lakini nadhani kuna vitu au jambo nilikosea hivyo lengo langu halikufanikiwa kwa kiwango kikubwa. maana haifunguki mpaka iwe niwe nimefungua ukurasa wa face book.na mbaya zaidi siwezi kuweka taharifa wala kitu chochote kingine. naomba msaada wa kuniwezesha nami kuwa mwanablog mwenye blog yangu ambayo itakuwa na archive ya blog za watu wengine ambao ningependa kuwashirikisha wasomaji wangu. nashukuru iwapo ntapata msaada huo na kama mawasiliano ya simu yanahitajika napatikana pia kwa namba za simu hizi:-0715721020/0787721020/0764721020/0774721020.

 19. nurman Says:

  naomba unitumie mwongozo nami niwe na blog yangu

 20. francis kulwa Says:

  kaka habari za kaz, mimi naitwa francis nipo Tabora, naomba msaada wako kwani nahitaji kuanzisha blog yangu na nimeshindwa, naomba mwongozo ili niweze kufungua. email yangu ni fkulwa@rocketmail.com

 21. Michael Karoly Says:

  naomba unitumie mwongozo nami niwe na blog

 22. joseph mkenya Says:

  nahitaji kufungua blog itayohusisha masoma hapa chuoni, tatizo ni kwamba ni kifungua inakuwa shida kwa watu wengine kuchangia au kuifungua nahitaji msaada wako bro

 23. Kidanga ally Says:

  Nataka kufungua email lakini nashindwa naomba unisaidie kwa hili

 24. Peter nyange Says:

  Samahani naomba unisaidie ninapotaka kuwa na email unafanyaje?

 25. Jack Says:

  Naitwa Jack naomba unisaidie kufungua blog. Nipo Dar es salam

 26. Paulo John Says:

  naomba kujiunga niwe na blog

 27. Gadna Says:

  Habari ya kazi bro pole kwa shuhuli nilikuwa naomba muongozo jinsi ya kujiunga na bloog yako kama utajali

 28. Elias B Mtambalike Says:

  Nisaidie nifungue email yangu

 29. Ramadhansaida Says:

  Maendeleo kwa ujumla

 30. mage Says:

  hongera wazili kwa kujihudhuru

 31. mage Says:

  naomba nisaidie namna ya kuwa na website yangu

 32. Mage Chale Says:

  mungu awabaliki watanzania wote kwa kuwa ni wakalimu na niweye kujali maisha ya wengine lakini waaotuchafulia jina la TANZANIA NI WALA WANAOFANYA MAOVO MBALI MBALI KAMA UJAMBAZI MAUJI KAMA YANAYOTOKEA TABORA NA MIKOA MINGINE KWA IMANI ZA KISHIRIKINA KUTOITENDEA VYEMA TANZANIA WATU WENYE TABIA HIZO WAACHE KWANI KILA BAYA LINAMWISHO WAKE

 33. Mage Chale Says:

  Tunahitaji vijana wote kumkumbuka mungu siku za ujana wetu kwasababu miaka hii ni ya hatari sana kuna manabii wa uongo wanaowadanganya watu wengi kutokana na kutokuwa na msimamo na imani zao mungu tubariki wote.

 34. Nicolaus kajale Says:

  Luv u bro

 35. Oscar mmoro Says:

  I want this service

 36. Hassan Kombo Hassan Says:

  HABARI ZA MAJUKUMU Naomba unisaidie niweze kuwa na fecebook na E-mail ninapotuma haziendi au bado hajakamilika nakuomba nisaidie tafadhali Asante

 37. joheki Says:

  POLE NA KAZI BRO NAITWA JOSEPHINE KISIMA naomba unisaidie niweze kufungua blog yangu ya kampuni kwa ajili ya matangazo na shughuli za kijamii pia johekiltdco@gmail.com

 38. Hemedi Kigessa Says:

  …Kaka hongera sana kwa mchakato unaoufanya.Nimevutiwa nao sana,nami kawa kijana wa Kitanzania nahitaji kuijua kiundani teknolojia hiyo. Ntashkuru ukinitumia muongozo…
  Harakati njema.

 39. rachel Says:

  naomba unisaidie namna ya kuwa na website yangu ili niweze elimisha jamii kwa ujumla, mambo ya kimwili na kiroho.

 40. rachel Says:

  pole kwa kazi naomba unisaidie niweze kufungua blog yangu ya kampuni kwa ajili ya matangazo na shughuli za kijamii pia rachelcharles47@yahoo.com

 41. HENRY sanga Says:

  naomba unisaidie namna ya kujiunga na emely nipo mbeya henry zakayo

 42. Benatus kahuru Says:

  Iwant tobe amember

 43. MSHANA Says:

  mimi naomba unielekeze namna ya kujiunga na wanablogu

 44. MSHANA Says:

  NAOMBA UNIELEKEZE NAMNA YA KUJIUNGA NA WANABLOGU ILI NAMI NIWEZE KUCHATI.EMAIL YANGU NI kaabi92@mshana.com

 45. rachel Says:

  hi, nami ningependa kufahamu namna ya kujiunga na kwenye blog ili nami niweze kuelimisha jamii kwa ujumla…

 46. MSHANA Says:

  HABARI ZENU WAPENDWA

 47. Daudi magori Says:

  Nisaidie nami

 48. Saidyahyasultan Says:

  Na mm naomba unipe huo muongozo ili niweze kutumia blog vizuri

 49. Feisal Says:

  O

 50. James mwaipyana Says:

  Naitwa james mwaipyana nashindwa jinsi ya kufungua email

 51. Ziyun Says:

  ninayo blog yangu ila inakuwa ngumu kuandika habari.. naomba msaada kwa hilo

 52. MCHUNGAJI MESHACK Says:

  maisha bila kumtii mungu ni sawa na bureeeeee

 53. Robert Mbasa Says:

  Habari motomoto za uchumi na siasa za Africa na ulimwengu kwa ujmla. Lifestyle

 54. Robert Mbasa Says:

  Napenda kuwa mwanablogu kupata Habari motomoto za uchumi na siasa za Africa na ulimwengu kwa ujmla. (Lifestyle) Afya! na maisha ya KIROHO nikiawa na maana ya kumtegemea MUNGU.

 55. Robert Mbasa Says:

  mwongozo wa wanablogu

 56. Wzir tarimo Says:

  Naomba unisaidie nikiingiza emeli yang ina kata

 57. yohana mtweve Says:

  kaka naomba mwongozo nifungue blog yangu hapa chuoni

 58. Deo cosmas Says:

  Mimi naitwa deo nataka kujiunga na blog yako kwani nataka kujua mambo ya mapenzi

 59. Paulo Says:

  Mambo unawezea

 60. Deo cosmas Says:

  Oya naomba ushauli jaman kwan naumwa sana ugonjwa cujui jaman nateseka sana

 61. Layson Ngoda Says:

  Ngnda@Yahoo.com

 62. Piter slyvanus Says:

  Maisha ni mtihani wa kushinda sio ukushinde

 63. wilfred gabriel lugano Says:

  hongera sn kaka, naomba unisaidie na mm mdogo wako nifungue blog yamgu, naitwa wilfred lugano

 64. Sarah bedie Says:

  Hi

 65. IMANI STEPHANO Says:

  NATAKA KUJIUNGA NA WANA BLOGU NASHINDWA NAOMBENI MSAADA WA KUJIUNGA.

 66. IMANI STEPHANO Says:

  DADA E NAOMBA NIFUNGULIE BLOG MM NAITWA IMANI MWAMLIMA NIKO MBEYA NLZALIWA TAR 07/8/1995.NAKUOMBA MSAADA WAKO.

 67. TIMOTHEO SICHINGA Says:

  TIMOTHEOSICHINGA

 68. TIMOTHEO SICHINGA Says:

  MIMI NAITWA TIMOTHEO SICHINGA WA MBEYA NILIZALIWA TAREHE 22/1/1996 NAOMBA MSAADA WA KUNIFUNGULIA EMAIL YANGU BINAFSI NITASHUKULU ENDAPO OMBI LANGU LITAKUBALIWA.

 69. Simon henjewele Says:

  I think is so good for join at the Email

 70. asha abdalah Says:

  napenda kufahamu zaidi facebook

 71. Joshua ngomuo Says:

  Ni page ambayo itasambaza kazi na neno la mungu

 72. Herbert Sembe Says:

  YESU KRISTO ni njia sahihi ya kwenda mbinguni

 73. Herbert Sembe Says:

  WOKOVU ndio njia yenyewe kwa kuwa YESU alisema nimekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.LUKA :19:10

 74. KISANGURE MARWA Says:

  i would like to enjoe with fremason

 75. Gasper james Says:

  nisaidien name pia

 76. john mduma Says:

  natakakujiungana yahoo

 77. john mduma Says:

  vipimamambo

 78. john mduma Says:

  naombaurafiki

 79. john mduma Says:

  naombaulafiki

 80. boy mduma Says:

  naomba urafiki weno

 81. RAMA Says:

  NAOMBA KUJIUNGA BLOG YAKO RAMA HAPA SINGDA

 82. RAMA Says:

  RAMADHAN JUMA

 83. omari ngale Says:

  wasoma ramani

 84. ramadhani shomary Says:

  Naomba utuelekeza jinsi ya kufungua blog

 85. Alphonce Heriel Says:

  hongera sana bro,naomba mwongozo wa jinsi ya kuanzisha website kwani sina website na sijawahi kutumia mtandao kabisa hata sijui kama email niliyoandika ni sahihi au la.

 86. EMMANUEL TEMBA Says:

  Ebwanaee mpo juu ile mbaya

 87. EMMANUEL TEMBA Says:

  naomba mwongozo juu ya matumizi ya mtandao huu

 88. Elimwema Z Barro Says:

  samahan kaka angu Macha naomba nsaidie ili nijiunge na google niweze elewesha watu pande za Manyara.

 89. FIKIRI Says:

  HONGERA

 90. alphonce Says:

  Bro Ndesanjo vipi leo naitwa Alphonce H Mrindoko niko MANYARA_KITETO nimejaribu kujitengenezea website kama unavyoona hapo juu kama nimekosea nirekebishe tafadhali. Naomba maelekezo kwani natamani nijue zaidi kuhusu mambo haya.

 91. Frank Says:

  Nahitaji kuwa na barua pepe hii

 92. Nickson Mfoy Says:

  DR HOPE MEDICAL
  Dawa ya kupunguza unene 40000/Kuondoa harufu mbaya mwilin 30000/Kurefusha nywele 42000/Kupunguza kitambi 30000/kuondoa mabaka,chunusi na makovu 20000/Kuongeza hamu ya tendo la ndoa 48000/Ngozi kuwa softi 60000/NA Tumia mkanda wa mafuta kujitibu 75000.
  TUPO MTAA WA LINDI,JIRANI NA DATASTAR COLLEGE Piga simu namba:0757802740 DR HOPE.

 93. nargiza Says:

  Jins

 94. Nickson Mfoy Says:

  halo brother naomba unsaidie jinsi ya kufungua blog namba ya simu ni0757802740

 95. HEMEDI Says:

  MATOKEO PC 2013 KIDATO CHA NNE

 96. HEMEDI Says:

  Naomba mwongozo wa kufungua blogu yangu ya rocket mail.com

 97. Kitanto Says:

  nahitaji msaada wa kubadili template yenye kusapot kuweka banner kama 6 kwa juu ya blog namba yangu 0767265221 .

 98. hussein hashimu Says:

  mimi naitwa hussein hashimu no. ya cm 0689686410 nataka kufungua email na kujiunga fecebook naomba maelekezo nifanye nn.najinsi ya kuweka picha kwenye fecebook

 99. hussein hashimu Says:

  naitwa hussein hashimu no 0717517126/0689686410 naomba msaada wa kufungua email kwa matumizi yangu tu pia naomba maelekezo ya kuingia fecebook maana mimi sijui naomba msaada wako.

 100. hussein hashimu Says:

  naitwa hussein hashimu, no 0717517126/0689686410. naomba msaada wa jinsi ya kufungua email kwa matumizi yangu binafsi na kuingia katika fecebook .maana sijui kabisa.

 101. Karol Alex Says:

  Bwan joj UliM¿

 102. Paschal Says:

  Paschal kevin phd

 103. Paschal Says:

  Ja

 104. Geofrey Seme Says:

  Naomba unisaidie nahitaji kuwa na blog yangu,nifanyeje?email yangu ni semegeofrey@yahoo.com

 105. Nickson Mfoy Says:

  hay broo naomba unielekeze jinc ya kufungua blog yangu na jinc ya kujiunga na facebook & twitter

 106. Nickson Mfoy Says:

  namba ya simu ni 0757802740

 107. karol alex Says:

  form 2 mjiandae kukumbana kwenye ubao wa matokeo mtajibeba2

 108. karol alex Says:

  walmu muache kutembea na wanafnz wenu!.mwalm mmoja kwa jina la simon afundishae shule ya chite atembea na mwanafnz wake jina dotto.

 109. HUSNA HAMADY Says:

  Habar kaka, mi nilikuwa naomba unisaidie jinsi ya kufungua e-mail yang na facebook pia maana kila nikijaribu na shindwa tafadhal nisaidie ni mimi HUSNA HAMADY MWANZA

 110. Nickson Mfoy Says:

  NAITWA NICKSON aka RUWAICH Natafuta demu au msichana wa kuchat nae na after tuwe wapenzi na antafute kupitia 0757802740

 111. Nickson Mfoy Says:

  DR HOPE MEDICAL
  Offer offer offer
  Anakuuzia dawa za ngozi kama unasumbuliwa na chunusi,mapunye,manyamauzembe,kusoftisha ngozi nk.Atakuuzia kwa gharama nafuu namba yake ni:0757802740

 112. Fares konongo Says:

  Hi

 113. naitwa anikajema laurent Says:

  Naomba mwongozo njins ya kufungua blog.mana ni vitu vingi sana ninavyo vya kuelimisha jamii. thanks brother

 114. Nuayla rajabu Says:

  Naomba unisaidie jinsi ya kufungua fb.

 115. allyjuma Says:

  anko nisaidie kupata mwongozo asubuhi njema

 116. allyjuma Says:

  anko nisaidie kupata mwongozo hakika nimeshahangaika sana nakuomba.

 117. JOSHUA ABEL LAISER Says:

  Habar ma broo! Naomba sana kaka unisaidie niweze kuwa na page yangu binafsi ktk mtandao wa kijamii wa facebook iitwayi DARASA HURU. Napatikana kwa 0753261283 E-mail Abeljoshua1@gmail.com.password Laiser10.Naomba nisaidie sana tafadhari.

 118. Mwajy Says:

  Ibada muhim

 119. mohamed Says:

  Nahitaji kujua namna ya kujiunga na blogu na namna ya kutumia mtandao huo

 120. ezekiel mcharo Says:

  hy br pole na kazi za kila siku mm napenda sana kutembelea mitandaoni na ninatamani sana kujua mengi kutoka mtandaoni alafu tayari ninayo blog yangu ambayo nimeianzisha siku si nyingi ombi langu naomba unisaidie jinsi ya upangiliaji wa blog yangu hii pia naomba unielekeze jinsi ya kuweka wimbo kwenye blog yangu ili watu wadowload kupitia blog hiyo naomba sana sana sana br unisaidie hilo natanguliza shukrani my contac 0756493645 au emal ezekiel.mcharoman@yahoo.com natokea maswa simiyu tanzania

 121. jafar salim Says:

  naomba kusaidiwa kujiunga na facebook

 122. ISSA NAMKUP N Says:

  naomba msaada kujiunga na fecebook namba ya siri nimeisahahu

 123. mohamed Says:

  Habaari zako? Tafadhali nielekeze namna ya kujiunga na f.book kila nikia dika inanambia nimekosea sijui nakosea wapi.

 124. Anna Says:

  naomba nielekezwe jins ya kufungua blogs

 125. ISSA NAMKUP N Says:

  mambo vip kaka naitaji msaada na mimi

 126. felecian-focus. Says:

  nambo vipi?

 127. HAYDARY SHABANI Says:

  NAITAJI MSAADA WA KUJIUNGA GOOGLE

 128. Gift Mammba Says:

  hongera sana kwa kutoa elimu juu ya matumizi ya blog.

 129. baraka michael Says:

  yan mm nimeshindwa kabisaaaaaaaaaaaaa jinsi ya kujiunga fb naomba msaada pls

 130. adam atupele Says:

  jamani wana blog wasaidien wenzenu namna yakutumia blog ama kufungua acount. nawapa ongela kwawale ambao wanatoa muongozo namna yakufungua acount bgp xanaaaaa

 131. edwin Says:

  mwongozo namna ya kujiunga ktk blogger

 132. Nabiimleke Says:

  Natafuta demu 0755688304

 133. Daudi Says:

  Naomba kujiunga na yahoo

 134. h.john chacha Says:

  mm naitaji kujua jisi ya kutumia akaunt yangu ya facebook

 135. dainess edson Says:

  Ya me ndio sijaelewa naomba kuelewa zaid

 136. Godlisten Dickson Says:

  Habari ya kwako kaka?
  Mimi ningependa kufahamu utaratibu wa kufungua Blog, ni nyaraka gani hutumika hadi kufikia mtu kumiliki Blog?
  Ni hayo tu kaka.

 137. jofre jastin Says:

  by jofre
  oyo kaka namuna ya kukisajili iko vp naomba musada

 138. HEMED MOHAMED Says:

  HI BROTHER NIKO ARUSHA NAOMBA MSAADA WAKUA NAIYO BLOG KAMAINAFAA NIWEZESHE JIB NDO MPANGO MZIMA BROTHER NINA KIBANDA CHANGU CHA BIASHARA FANYA MPANGO

 139. ABUBAKAR BANYANGA Says:

  NA ITWA DJWAHAPA

 140. MUSSA NCHIMANI Says:

  Nami naomba mwongozo wa kufungua li blogu ili kuchati na marafiki

 141. Hadija juma Says:

  Mimi naitwa Hadija naomba mwongozo jinsi ya kufungua blog yangu

 142. ally saidata Says:

  naitaji msaada wa kufungua email ya yahoo.com

 143. ally saidata Says:

  alsaidata@yahoo.com

 144. ally saidata Says:

  vipi nimefanikiwa

 145. M SWAZ TILIONEA Says:

  Ndugu wapendwa mashabiki zangu na wale ambao mnahitaji kuwa pamoja na mimi ,mkae tayari kupokea wimbo wangu mpya ambao kwa sasa ninakamilisha vidio yake, siwezi kusema show nitatoa lini na wapi,ni wakati wowote,nahiaji campany yako

 146. habib_isaely Says:

  Hb1212Bh

 147. IBRA DAHASLA Says:

  MIMI IBRA NATAKA KUWA NA EMEIL SABABU NAKOSA VITU VINGI SANA NIKIELEZEA SITOMALIZA AHSANTE

 148. ussi Suleiman Pandu Says:

  Kichwa31@gmail.com

 149. ussi Suleiman Pandu Says:

  Ok

 150. Godfrey joseph Says:

  Bro naomba unisaidie mwongozo ili nianzishe blog yang ni Godfrey Nundi from pande za mji kasoro lami Nyakarilo city

 151. Steven malechela Says:

  Naomba orodha ya wagombea urais mwaka 2015

 152. chrispinkalinga Says:

  Naomba unisaidie kutengeneza blog yangu kwaajili ya usambazaji wa Habari nakuomba sana TUmia jina hili CHRISPINKALINGA

 153. kelvin peter Says:

  samahani kaka kwanza pole na majukumu ya hapa na pale mm nilikuwa naomba msaada wa kufungua tovuti ili iweze kunisaidia katika ufanisi na utendaji wa kazi yangu

 154. malota boy Says:

  i’m like in the bloger

 155. ELIZABETH Says:

  Nipo hapa Arusha naomba nielekeze namna ya kujiunga mtandaoni ili niwe moja wa kutoa changamoto mbalimbali ulimwenguni

 156. TUMAIN MWAKAPESA Says:

  UMARUFU UNAPONZA

 157. HD Mavoice Says:

  naomba mnisaidie kujiunga,yahoo ma

 158. HD Mavoice Says:

  YAPU,mimi ni kijana mdogo ambaye nimeingia kwenye gemu ya music,but kwasasa nina jimbo ambazo natakurekodi,kama kuna mtu wa kunisaidia just help me,

 159. laban costantini Says:

  hongera kwa kaz yako kaka,ila nimevutiwa sana nakuipenda kaz yako naomba unipe mwongozo wa kuwa mwanablogu ili namimi niweze kupata name kutoa maoni yangu brother.

 160. michael j ibla Says:

  Naitaji kuunda blog naomba msaada……

 161. Michael macha Says:

  Rroh uko sahihi sana ni dar tz….

 162. Dotto said Says:

  maujanja

 163. SHABANI RAPWI Says:

  Upendo,Amani,Mshikamano

 164. leopord samwel Says:

  mwongozo wa wanablogu

 165. leopord samwel Says:

  samahani kaka mimi naitwa leopord ninaomba kujinga na blogu ilinitumie kwenye biashala zangu

 166. zakaria francis Says:

  nataka kujiunga blog yako

 167. Sephania Says:

  Naomba mwongozo wa kufungua yahoo

 168. tumlaki sanga Says:

  mungu yupo

 169. FABIANO AMON Says:

  niwajibu kila mtu kupoa habari pia kutowa habari

 170. Andrew John Says:

  MWONGOZO WA WANABLOGU: Habari Za Kwako Kaka, Mimi Email Yangu Haifunguki! Msaada Jamani.

 171. edward joseph Says:

  naomba usaidizi was kufungua blog

 172. Stanslauc Says:

  Nahtaj kujua jinsi ya kujiunga na google

 173. said Komba Says:

  Please nahitaji email ya member mmoja kwa jina Betram Lwabulala. Huwa anapatika sana hapa.

 174. Hkillerpozy Says:

  naomba muongozo bro! kagera majanga yamezdi

 175. yasinilipululu Says:

  I m medical proffession deling with to helps the pregnance woman especial during at labour for delivary ,ilike this work because to save the life of pregnant women ineed your suport in order to save life of mother and her baby

 176. emmanuel semwaiko Says:

  nahitaji kupata updates habari

 177. Hkiller Kisogo Says:

  Hkiller, Kisogo dogo wa k2mia ubogo wa kisogo,,wasanii wa bk anawaita madogo..bk sande kwangu ni gogo,,kamding kwangu ni dogo,,,chana kama unajua kuchana, of course naweza kubana,,saka riziki usiku na mchana we kijana, yaleo sio ya jana.
  ata alkiba amebuni ya omwana..
  me ni dogo from BUKOBA””MULEBA,
  KWENYE MICHANO MTANIITA BABA.

 178. Hkillerpozy Says:

  Yaap stand up, bukoba never give up.. ukitaka niite Hkiller kisogo au HkillerPozy.
  YAANI HAPO MIA MIA.
  no, sheedah hata mishale izidi mida.
  siwezi kuchani kwa ku2mia wida

 179. Hkillerpozy Says:

  Kiwhera ,ni kijiji kinachoptika wilaya ya muleba. kwa mauaji wamekidhiri..na viongozi wamekua vpofu..

 180. joakim fred Says:

  hii ni bonge la awebsite tembelea ujionee mwenyewe

 181. idd Says:

  nahitaji kujua namna ya kufungua blog

 182. Hkiller Kisogo/hemed Mawazo Says:

  Mambo fulani amazing”dogo atari sana kwa michano…kutoka bukoba…! karagwe pamoko.

 183. Said Hussein Says:

  M

 184. mandela Says:

  am come from mawono mbinga ruvuma.am a 4m 5 student

 185. mandela kanisius ndunguru Says:

  hakuna kama yesu

 186. mandela kanisius ndunguru Says:

  no one like jesus

 187. yussuph issa Says:

  Mm naitwa Yussuph Issa mm ni mwana blogu hii vile vile no mwana harakat wa blogu za internet lengo ni kujua kutengeneza blogu yang kuwa na lugha msimamo na mambo mengine mfano elim siasa michezo buradan na nk

 188. mandela kanisius ndunguru Says:

  for change to take place we ought to be dynamic.to fight:
  corruption
  ignorance
  selfishness
  poverty….
  by dks one love

 189. kheri omari kombo Says:

  mambo vipi broo naomba msaada nikitaka kuweka nyimbo zangu kwa page yangu ya fb nipe muongozo

 190. Thomas bain Says:

  naombamsaada natakakurusha picha yangu mtandaoni

 191. ORY,SIMPLE Says:

  Samahani Broo nahitaji nipate brog yangu il nirushe matangazo yangu

 192. Ikungasya Mwakatumbula Says:

  Mr Macha. Naomba mwongozo ili nifungue blogu yangu

 193. Clinton Says:

  naomben kujiunga jaman il na mm niweze kutoa dukuduku lang

 194. Hope Bill-gate Says:

  i need to have an e-mail on facebook

 195. CLEMENT RAMADHAN Says:

  mr masha habari za shughuli mm nipo TANZANIA naomba mwongozo nataka kufungua blog nataka kubase kwenye masuala ya madini hapa kwetu tanzania nifanyeje ili niweze blog?

 196. Dra Says:

  Dra rec’x production kwaajili yako wewe msanii wa tanzania

 197. Mwamini Says:

  Nielekezen jinsi y kujiunga google play kw vtendo koz cm yng haina neno play store wanablog wenzang nielekezen

 198. andrew philemon Says:

  naomba mnipe mwongozo wa namna ya kublogu na kujiunga mtandaoni ili nipate changa moto katika ulimwengu wa leo

 199. Agnes Yonah Says:

  nahitaji kuwa na blogu yangu pia naomba msaada

 200. abbanove gabba Says:

  Like that, tuzidi kuikomboa Tanzania yetu.nataman kufungua blog il k kuza kipaj na kuleta maendeleo kwa familia jamii na ulimwengu kwa ujumla

 201. Mbeito Kimvelye Magova Says:

  Naomba kujiuna na website

 202. amne Says:

  asante kwa kazi nzuri

 203. Abubakari jumbe Says:

  Ndugu Yangu mm naitaji kukuza blog Yangu ambayo inaitwa africatraidition.blogspot.com inausu maswala ya tamaduni na history kiujumla napia naitaji kuweka matangazo ya biashara ya watu je nitumie njia gani ndugu yangu

 204. jaden smith Says:

  ka firaneni uko kila siku mtu anasema tu KUMA nyinyi.

 205. mussahassan Says:

  Naomba mniunge blog yangu

 206. sayimon wisoni Says:

  http://Waphome.blogspot.com

 207. JOHN Says:

  POA

 208. Marge Says:

  Napenda Kuchat! Na Maraf!K!

 209. rodrick tibemanya Says:

  hi kaka naomba unisaidie kutegeneza blog kwa ajir ya biashara zangu nipo dar napatkana kwa namba 0719050302.

 210. masewa donald Says:

  Ughaibuni@yahoo.cohttp://digitalafrica.blogspot.com

 211. lulu lulyan Says:

  naomba unifundishe jinsi ya kuunga blog

 212. EMA Says:

  mm n mtanzania Niko Dodoma naomba mwongozo wa kufungua globu

 213. Nambey Says:

  Wazima Ndugu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s


%d bloggers like this: