RSS Ni Kitu Gani?

Huenda umewahi kusikia kuhusu RSS lakini bado hujaelewa vizuri kuwa huyu ni mdudu gani. RSS ni teknolojia muhimu sana kwa wasomaji wa habari mtandaoni, wanablogu, wenye tovuti, n.k.  Jamaa wa BloggingPro wametengeneza video nzuri mno inayoeleza kwa kifupi na lugha rahisi maana ya RSS na jinsi utakavyoweza kuitumia. Bonyeza hapa uitazame na kujifunza.

6 Responses to “RSS Ni Kitu Gani?”

  1. michael Says:

    Bwana Michuzi, naomba hii message iwapate akina dada wote wa kitanzania huku ulaya, nyinyi akina dada wa kitanzania nawaombeni sana sana muwe macho na wenzetu wa africa magharibi, msifikilie kuwa na wanaume wa afrika magharibi, siwafichi mnaisaliti nchi ya tanzania na vizazi vyake vijavyo. Wewe kweli baba na mama wanakutuma ulaya kuja kusoma degree harafu unaishia kutembea na wa africa magharibi, kuwa macho na wizi, utapeli, hasa hapo baadae hawa wenzetu watataka kuleta matatizo kwenye nchi yetu, kweli kuweni macho nawaombeni.

    Inaonekana na hasa kwa kipindi hiki imekuwa ni “target” kwa watu kutoka nigeria sana sana kuwataka ndugu zetu wadada wa kitanzania kwa malengo yao binafsi lakini malengo yao makubwa ni

    (1) kupata mwanya wa kuingia tanzania na kuweza kupenyeza utapeli wao na pia kupata mwanya wa kutumia rasilimali za kitanzania ambazo hazijaguswa.

    (2) Likini pili kuweza kuwataumia ndugu zetu hawa katika shughuli zao za kitapeli kwa kuwa wanasema “eti hawajui kiswahili” na hivo kujikuta wakiwaingiza ndugu zetu katika matatizo makubwa sana.

    Haya ni mawazo yangu na maoni yangu. nakaribisha michango kutoka kwa ndugu zangu wote wenye mtazamo ama kama mimi au tofauti na mimi.

    naomba kuwasilisha.

    Mdau,

    ughaibuni.

  2. MSHANA Says:

    NAHITAJI KUJIUNGA

  3. MSHANA Says:

    NAOMBA MUONGOZA ILI NIWEZE KUJIUNGA NA WANABLOGU.NAHITAJI MSAADA WENU WAPENDWA

  4. MSHANA Says:

    naombeni mwongozo namna ya kujiunga na wanablogu

  5. Aizackboy Says:

    napenda vitu vipya

  6. ankajema Says:

    Namba unifanyie mpango nami nijue kufungua blog kwenye sim.

Leave a reply to MSHANA Cancel reply