Zana ya kutengeneza Blogu au Tovuti Yako

Mwezi wa nane mwaka huu niliandika kuhusu huduma ya Wetpaint ambayo inakuwezesha kujenga blogu, wiki, au tovuti yako mwenyewe bila kuwa na haja ya kujua lugha ya kujenga tovuti (HTML au nyinginezo) na pia bila kutakiwa kushusha programu yoyote kwenye kompyuta yako. Huduma kama hizi ni muhimu sana kwa watu walioko katika nchi za Kusini ambapo wengi wanatumia kompyuta ambazo sio zao (kwenye migahawa) hivyo inakuwa vigumu kushusha programu kwenye kompyuta hizo. Pia inakuwa vigumu kutumia muda mrefu kwenye kompyuta kujifunza mambo kama ujenzi wa tovuti toka A hadi Z. Bonyeza hapa usome niliyoandika kuhusu Wetpaint na huduma nyingine.

Sasa kampuni ya incuBeta ina huduma inayofanana kiasi na Wetpaint ambayo inaitwa Synthasite. Huduma hii bado iko kwenye matengenezo ila unaweza kuwapa anuani yako ili wakutaarifu itakapokuwa tayari. Bonyeza hapa.

Advertisements

57 Responses to “Zana ya kutengeneza Blogu au Tovuti Yako”

 1. abeid Says:

  habari yako salama mimi nimefungua hii blogspot kama kujaribu na nilimuuliza kaka yangu michuzi akanifahamisha jinsi ya kufungua na sasa nishafungua inafika miezi 2

 2. dav Says:

  nimeon amaelekezo yako namun aya kutegeneza blog,pia na mimi ninapenda kujiunga ili niwe n ablog yangu,laikini ninashidwa
  nisaindie ,nifanyeje

 3. bernardgeorge Says:

  naomba unipe maelekezo zaidi nianzaje?

 4. Mtanga Says:

  Nimefungua blog yangu lakini nimeshindwa kujua idadi ya watembeleaji wangu hivyo naomba unisaidie.Nataka nitumie sidebar kwa ajili ya matangazo madogo nimeshindwa naomba msaada pia.Nilikutumia email lakini sijapata jibu hadi leo.Nitashukuru kwa msaada wako.

 5. richard Says:

  nataka hii iwe tovuti yangu

 6. nzoli Says:

  naomba nijue jinsi ya kuunda blog yangu

 7. nakshi Says:

  nashukuru kwa ufafanuzi nimefanikiwa nami kufungua blogn yangu , nitarudi tena baadae kwa msaada zaidi

 8. vigneshraj Says:

  Wetpaint ni bora lakini naweza kujaribu synthasite, i hope ni kazi nzuri, shukrani kwa ajili ya kugawana ..

 9. mtongori paul Says:

  i’m paul nawezaje kuunda blog entertainment pleaz nisaidie

 10. SAMWEL Says:

  Samwel ni kijana umri 18 ninaishi kyela mbeya nasoma nkuyu secondary kyela ni skauti(troop leader)

 11. MSHANA Says:

  nimeshindwa kujiunga na wana blog naombe msaada jamen

 12. Manyama Frank Says:

  dah naomba na me nifungue blog tangy.

 13. abdock Says:

  ingia uunge blog yako

 14. twalibumashaka Says:

  kaka mm pia naomba unisaidie kufungua blog niko dar

 15. twalibumashaka Says:

  kaka mm pia naomba unisaidie kufungua blog niko dar namba zangu hizi email yangu inatatizo 0754887176

 16. Abdala suleimani3 Says:

  Kaka nahitaji unifungulie blog.alafu nataka unitumie namba yako ili niwe nawasiliana na wewe.

 17. wizara ya elimu Says:

  Kaka nataka unifungulie ka blog kangu.naomb unisaidie by wizara ya elimu

 18. CHRISTOPHE MROPE Says:

  NATAKA KUFUNGUA EMAIL ILA NASHINDW NIFANYEJE

 19. Fadhili Moperon Says:

  jina langu naitwa fadhili.nina miaka 20,naishi mashariki mwa DRC.
  -Mimi ni shahidi wa yehova. nina mchumba, na nitaoa karibuni.

 20. FADHILI MOPERON Says:

  mimi nina ishi DRC

 21. Youngblack Says:

  Kwa sababu nisur email

 22. EMMANUEL Says:

  naomba nisaidie kutengeneza blog

 23. ndaki mussa Says:

  ebana nimependa endelea kuwasaidia watz,

 24. Khams Says:

  UKURASA MPYA

 25. RAJAB RASHID Says:

  mim ninataka kufungua blog ila nashindwa nifahamishe utaratib wake ktk namba 0652224236 au email; rajabclassic@gmail.com

 26. Frank ndaki Says:

  Ninahitaji kufungua tovuti yangu lakn nieshindwa

 27. Boy Asanoah Says:

  Basanoah.com

 28. FADHILI MOPERON Says:

  MIMI naitwa pia Ram jaane,nyongoro au Stephen LETT.mkubwa,naomba unisaidie kufungua web site na e-mail hapa kwenye blog

 29. Fadhili Moperon Says:

  Voir:http://www.Jw.Org/sw/kutuhusu/
  Rafiki Yangu Mwinine Wa Kike Ni Mullybinge.

 30. MOSSES FRANKER Says:

  mossesfranker@yahoo.com

 31. MOSSES FRANKER Says:

  moses franker ni msanii movies anaye wania kwa kasi kubwa sana kwenye tasnia hii ya film

 32. JOSHUA MKULAS Says:

  0752343089

 33. JOSHUA MKULAS Says:

  258796

 34. twalibu kabunju Says:

  Naomba kutengeneza blog na hii ndo iwe blog yangu

 35. Fadhili Moperon Says:

  Hannah Maneno Fadhili Charlinne Moperon /Mboko Drc.

  Mheshimiwa Mzee Nitafanyaje?

 36. david nestory Says:

  mimi naitwa David nestory nimejalibu kufungua blog (man-villagespot.com lakini ina zingua nisaidie kaka email yangu ni dahasa2007@gmail.com

 37. Shaban k. khalifa Says:

  mimi nataka nifahamu jinsi ya kufungta blog… by CUF MKINGA

 38. pastory joseph katemi Says:

  jaman nipen msaada namii nitengeneze blog yangu

 39. fred mbararia Says:

  naomba unisaidie jinsi ya kufungua blog YANGU mwenyewe

 40. adinan shariff Says:

  je wewe ni muumini wa mambo ya nyota? kama ni ndio fwatilia kilasiku utabiri wa nyota yako na jinsi ya kujuwa nyota yako hapa,

 41. r makalla Says:

  naitaj sana kufungua blogu lkn nashindwj naomba munifahamishe kupitia namba 0654801959 au email rmakalla58@gmail.com

 42. Absalom kusaya magibo Says:

  I want to open my web pleas help me to open this web

 43. Absalom kusaya magibo Says:

  nisaidie jinsi ya kutengeneza tovuti

 44. william Says:

  nimejaribu imekata naomba unitengeneze blog yangu alafu unitumie katika email yangu ukifanya hivyo utakuwa umenisaidia sana mungu akubariki asante email yangu ni Williamvedasto006@gmail.com

 45. Suddy Athuman Says:

  Naomba unitengenezee website yangu halafu unitumie kwenye email yangu suddyathuman27@gmail.com nitashukulu sana!!

 46. Qasharii Says:

  Leo napenda kuwatangazia nyimbo mpya ya Salama#

 47. Dvj Nelly Selector Says:

  Nitengenezee Tovut Na Blog Yangu, Nitumie Ktk dvjnellyselector@gmail.com ntashkuru sana

 48. andrew julius Says:

  juliusa400@gmail.com

 49. Barakah12 Says:

  sound video

 50. Baraka Says:

  NAITAJI BROGU NIWEZE KUPIGA PESA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s


%d bloggers like this: