Zana ya kutengeneza blogu au tovuti yako

Kuna zana mpya ambayo itawafaa sana watu wenye nia ya kuwa na tovuti, blogu, au wiki zao wenyewe lakini hawana ujuzi wa utalaamu unaotumika kutengeneza tovuti, blogu, au wiki.  Zana hii inaitwa Wetpaint. Kwa dakika chache na bila ujuzi wowote zaidi ya ujuzi wa kutumia tarakilishi, unaweza kuwa na blogu au tovuti yako mwenyewe. Bonyeza hapa ujionee mwenyewe. Majuzi niliandika kuhusu zana hiyo na nyingine zinazofanana katika blogu yangu, bonyeza hapa na hapa ili usome niliyoandika.

Advertisements

29 Responses to “Zana ya kutengeneza blogu au tovuti yako”

 1. maka patrick Says:

  Huwa ninapofungua blog yako kwa kweli sichoki kusoma vile vitu adimu ambavyo umekuwa ukitupatia jambo linaloniuma ni kuwa ninajisikia vibaya sana kushindwa kuandika mara kwa mara wakati wewe unatuandikia hata huchoki na wala hukati tamaa.Jambo moja ninalokusisitiza usichoke kutupa vitu hasa sisi tulio kizani baba kaza buti mtu wangu Ndesanjo kwani hilo hata Deogratius Zegge wa Kijenge Mwanama Arusha analitambua hilo.

 2. Zana ya kutengeneza Blogu au Tovuti Yako « MWONGOZO KWA WANABLOGU Says:

  […] Mwezi wa nane mwaka huu niliandika kuhusu huduma ya Wetpaint ambayo inakuwezesha kujenga blogu, wiki, au tovuti yako mwenyewe bila kuwa na haja ya kujua lugha ya kujenga tovuti (HTML au nyinginezo) na pia bila kutakiwa kushusha programu yoyote kwenye kompyuta yako. Huduma kama hizi ni muhimu sana kwa watu walioko katika nchi za Kusini ambapo wengi wanatumia kompyuta ambazo sio zao (kwenye migahawa) hivyo inakuwa vigumu kushusha programu kwenye kompyuta hizo. Pia inakuwa vigumu kutumia muda mrefu kwenye kompyuta kujifunza mambo kama ujenzi wa tovuti toka A hadi Z. Bonyeza hapa usome niliyoandika kuhusu Wetpaint na huduma nyingine. […]

 3. salim Says:

  this is website especially for tanzanian around the world

 4. salim Says:

  kama una maoni au ushauri unakaribishwa

 5. Charles S.Mwakambonja Says:

  Bw. Ndesanjo, dalasa hili la kufungua tovuti ni zuri mno. Hongera sana.

 6. ask Says:

  Thank you for your fantastic support. I have made my own website through your support. Thanks once more!!!!!!!!!!!!!!

 7. Fita Lutonja Says:

  Nimefurahishwa ka kazi yako ya kutupa darasa na sisi wachanga katika blog, nakuomba unielekeze kuhusiana na kuweka blog za wenzagu katika blog yangu nifanye nini ili niwe na orodha ya blog za wengine

 8. YANGE MASTER Says:

  DAAAAAAA,NIMECHELEWA SANA KAKA KUDAKA WEB KAMA HII,UPO JUU MKUBWA……………..ENDELEZA GEM

 9. Milton Ngondo Says:

  Mara chache ninazoingia Internet Cafe kotokana n matatizo ya kipato huwa siachi kutembelea blog yako mana najua tu lazima nitapat jambo nisiloliifahamu,napenda sana comment na mawazo yako hata kwenye newspaper natamani nami niwe na blog yangu lakini sijui nianzie wapi

 10. Edward Says:

  Naomba msahada wako. naomba unitumie mwongozo wa jinsi ya kuanza kutengeneza blog .am interested bt i dont know nianzie wapi.

 11. fadhili mohamed Says:

  bado tunapigana na blog zetu ili zisimame kazi ipo mikono yenu inahitajika sana,kukosoa na kushauri karibu sana,tunahitaji nguvu kutoka kwenu!!

 12. Juma Ngwele Says:

  Tafandha ndugu naomba unipe muongozo ili nifugue blogu yangu.natanguliza shukulani zangu kw kunipa msaada uo.

 13. Emanuel Elias Says:

  thanks Bw.Ndesajo nami pia nimetengeneza website ila naomba unielekeze kuhususiana na ku publish my website kwani naona kama panahitajika hela ili kufanya hivyo

 14. zaka Says:

  zaka

 15. YUSUF HAMAD SHARIF Says:

  ni mkaazi wa kijiji cha kiuyu mbuyuni wilaya ya micheweni pemba.Nilizaliwa 27/8/1990.nilianza shule 1999 mwaka 2008nikamaliza FM II mwaka 2010 nikamaliza FM 4 na mwaka 2013 nimemaliza FM 6.

 16. Benitus Bonifas Says:

  my new blog

 17. Benitus Bonifas Says:

  mimi nathan kufa maskin ni uzembe,kuto jishuglisha nakutegea wazaz

 18. Benitus Bonifas Says:

  hi

 19. amiry Says:

  habari kaka na dada zangu nitawezaje kudesign blog yangu jamani maana ni kijana ninaye miliki blog sema cwez ku design

 20. lucas king Says:

  maisha ya digital

 21. japhet Says:

  Jay@gmail.com

 22. Benitus Bonifas Says:

  nataka kufungua blogs ila cna ujuzi

 23. Michael macha Says:

  Nataka kufungua blog ambayo nitaweka muziki mp3 watu waweze danlord

 24. boaxe sangah Says:

  kupata habar mbalimbali ndani na nje ya nchi
  Mikasa Ya Mapenz***

 25. JOHN Says:

  i need to have my own blog,,plz help me fo tht

 26. JOHN Says:

  I NEED TO HAVE MY OWN WEBSITE,,

 27. JOHN Says:

  i need to hv a my own blog

 28. JOHN Says:

  its good 2 be on ths site

 29. daimawe Says:

  NOMA SANA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s


%d bloggers like this: