Huduma za Blogu za Bure

Unapotaka kublogu swali la kwanza la kujiuliza ni kuhusu huduma utakayotumia. Zipo huduma nyingi sana hivi sasa zinazowezesha watu kufungua blogu zao kwa urahisi.  Zipo huduma za bure na nyingine za kulipia. Kwakuwa mwongozo huu ninaulenga zaidi kwa wazungumzaji wa Kiswahili walioko barani Afrika, nitaweka orodha ya hduma za bure.  Kwanza, tunajua matatizo ya kipato barani Afrika na pia watu wachache sana wanaweza kulipia huduma za malipo kwa kutumia kadi.  Hduma nyingi za malipo zinahitaji uwe na kadi ya benki au kadi nyingine kama vile VISA au Mastercard.  Kwa sasa huduma za bure zilizopo zinakidhi kwa kiasi kikubwa mahitaji ya wanablogu.  Sisemi kuwa huduma hizi hazina mapungufu.  Yapo mapungufu katika huduma hizi, kwa mfano lugha.  Lugha yetu bado haijatambulika kwa watengeneza programu hizi.  Mapungufu haya yanatafutiwa dawa.  Rafiki yangu Chris wa Progressive ICT Review na mimi tunatengeneza programu ya kublogu ambayo itakuwa ni dawa ya mapungufu ambayo yapo katika huduma za bure zilizopo hivi sasa. Wanablogu wa Tanzania karibu wote wanatumia huduma za blogger (http://www.blogger.com). Moja ya mambo muhimu ya kufanya wakati wa kutafuta huduma kwa ajili ya blogu yako ni kutembelea blogu za wengine.  Kwa mfano, ukibonyeza hapa utaona blogu mbalimbali za Watanzania.  Ukibonyeza hapa utaona blogu mbalimbali za Wakenya (Wakenya wanatumia huduma mbalimbali ikiwemo ya “blogger” na nyingine za kulipia).  Maelezo ya jinsi ya kufungua blogu zako katika huduma nitakazoorodhesha hapo chini sio magumu kufuata. Ila mwongozo huu kwa sasa utakuwa unalenga zaidi watumiaji wa huduma za “blogger” ambazo ndio Watanzania wengi wanatumia kwa sasa. 

Orodha ya Huduma za Bure:

 1. http://www.blogger.com
 2. http://www.wordpress.com
 3. http://www.livejournal.com/
 4. http://www.blog.co.tz/
 5. http://theblogs.net/
 6. http://www.ebloggy.com/
 7. http://www.blogsome.com/

Advertisements

13 Responses to “Huduma za Blogu za Bure”

 1. tourist attraction iowa Says:

  tourist attraction iowa

  Good information about tourist attraction iowa.

 2. groupie backstage pic Says:

  groupie backstage pic

  groupie backstage pic intro

 3. bmwm3 Says:

  bmwm3

  ha-rd-po-rn-fu-ck 2997301 bmwm3 friends

 4. sho taurus Says:

  sho taurus

  Aggregator of sho taurus sites

 5. missouri individual health insurance Says:

  missouri individual health insurance

  ka-ka-sh-ka 2997301 homepage of missouri individual health insurance

 6. nurse with wound Says:

  nurse with wound

  Info about nurse with wound.

 7. canadian amateur radio frequency reduction Says:

  canadian amateur radio frequency reduction

  ka-ka-sh-ka 2997301 Information source about canadian amateur radio frequency reduction.

 8. cheap eye glasses Says:

  cheap eye glasses

  Books about cheap eye glasses.

 9. bazil Says:

  NEW WEBSITE

 10. bazil Says:

  haya sasa

 11. bazil baltazar Says:

  mwanzilishi

 12. HD Mavoice Says:

  KAMA KAWAIDA NAOMBA MLITANGAZE JINA LANGU AFTER THAT,NGOMA KALI HINA REJEA,#HD Mavoice,ndo langu jina la usanii bado niko kwenye alakati ya kutoa single,ambayo itaenda kwa jina la %wanasubiri” naomba mtege maskio twende sawa,hakuna kupagawa kagera ka

 13. HD Mavoice Says:

  nashangaa wanaojihita wakali,het wakali wa mashairi.
  sasa mi kiboko yao,leo nawapiga bao
  ninanying skendo,nitawatoa zote nyodo
  mashairi kimtindo,ukizubaa nagei manyundo
  vip shule mtoto wa mitindo,kwangu utadata kando.
  msicopy nakupest,mimi sijawi lla

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s