JINSI YA KUTUMIA MWONGOZO HUU
Njia rahisi ya kufaidika na mwongozo huu ni kutazama kona ya maudhui (isemayo “categories”) ambapo utaweza kujua unataka mwongozo kwenye eneo gani. Ingawa mwongozo hu unalenga zaidi wale ambao hawajaanza kublogu, kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuwa ya manufaa hata kwa wale ambao wameshabobea kwenye ulimwengu wa blogu. Nakushauri uanze kusoma Utangulizi. Sehemu hii unaweza kuipata kwenye kona ya maudhui.
Karibu sana.
April 13, 2007 at 12:55 pm |
I want register as a bogger.
June 14, 2007 at 12:07 pm |
Thank you for registering me as a blogger. It’s only today that I noted to have been registered since April 13th, 2007 at 12.55pm.
July 10, 2007 at 3:24 pm |
i want to have a blog
July 10, 2007 at 3:27 pm |
i will very happy if i have my blog and i think i will try to learn more on how to provide a good bog to the audiences
July 10, 2007 at 3:28 pm |
i need a blog from wordpress.com,and entries to RSS
July 17, 2007 at 8:18 am |
Why my name does not appear in the alphabetical order?
August 24, 2007 at 1:19 pm |
Naam mkubwa habari yako nimekupata vizuri na hapa nakuonysha kweli kama mimi ni mwana mtandao kama japokuwa sijafikia hata theluthi yako lakini mashallah. kwanza nakuomba nakuomba msamaha kwa maneno makali nilokutumia kwenye user page ya http://sw.wikipedia.org/wiki/User:Ndesanjo. nilichukia sana kitendo cha wewe kuifuta ile kurasa ya hip hop ya bongo baadae nikagundua sababu iliopelekea kurasa ile kufutwa kisha nikaona kweli pale nilikosea.
sasa mkubwa mimi binafsi na kuomba radhi manake bado nahitaji kuweka makala nyingi tu ili mradi kuhufamisha ulimwengu vipi wa tanzania tulivyo sasa ikiwa kama wewe ni mkubwa wa wikipedia kwa upande wa lugha ya kiswahili nakumba uniachie huru na ile kurasa ya hip hop ya bongo nitairudisha lakini kwanza nakumba mkubwa unikubalie kwa ilo
kisha kila makala ambayo mimi nitaiandika nitakuwa nakuomba kama ushauri vipi inatakiwa maelezo ya wepo au wewe mzee wangu unaonaje?
nina maana kwamba mimi nina uwezo wa internet mda mwingi na muda kufanya hivyo ninao sasa basi nataka nkusaidie na kuna kurasa nyingi tu ambazo mimi nimeziweka ni zaidi ya 16 zinazo husu muziki na filamu nimeona msg ya front page kwamba una furahi sana kuona vijana wengi wanajiunga na kuanza kueleza mambo ya muziki na filamu ni mimi peke yangu nilioandika makala zote hizo za filamu na muziki
mimi peke yangu nime account zisizo pungua 16 au zaidi sasa nimeonyesha moyo wa kutaka kuandika makala na mwenye umeona ninajuhudi kiasi gani manake mimi naweka mpaka picha kuna baadhi ya wikipedia naweza kukuandikia ambazo mmi nimeweka maelezo na picha
ni nyingi sana mzee wangu we chunguza utaona hizi makala zaidi ya ambazo zenyewe zinahusu mambo ya muziki na filamu zote nime ziunda mimi na hamna mtu wmingine mikija nakutana na marekebisho
nadhani ni uliye kuwa unazirekebisha kurasa zile
sas mkubwa naomba ushirikiano wako na msaada maana wewe ushapita mpaka wazungu wamekupa kurasa uzi hariri basi wamekukubali sana nahitaji msaada wako ili niweze kujenga makala niyingi
wako
Mohammed George.
November 4, 2007 at 9:32 am |
a\s.
jamani nasikia sk. wetu alkhalily anaumwa je hajambo.
January 9, 2008 at 4:30 pm |
mambo natka kujiunga na WANABLOGU
April 24, 2008 at 8:01 am |
Mwanawani mimi cna blog na nataka nifungue blog ila maelezo yananipiga chenga,maana wengine ha2japitia mafunzo ya computer
February 6, 2009 at 8:21 am |
thanks a lot brother, natamani kuwa bloger pia, Mungu akubariki sana kwa msaada wako, i hope tutakutana zaidi katika ulimwengu wa blogu
June 14, 2011 at 7:34 am |
i like this site
im also struggling to build my blog, ni kazi ngumu sana but kwa msaada wa sites kama hii naamini i will HIT MY TARGET
THANX BRO.
June 14, 2011 at 7:36 am |
i like this site
im also struggling to build my blog, ni kazi ngumu sana but kwa msaada wa sites kama hii naamini i will HIT MY TARGET
THANX BRO. U CAN VISIT MY BLOG AND ASSIST ME GROW
June 14, 2011 at 7:37 am |
http://mapenziyangu.wordpress.com/
November 15, 2011 at 2:15 pm |
Nina ipenda sana Blogh
February 6, 2012 at 1:11 pm |
Ebhana nahitaji mwongozo wa kuset blog yangu na kuitangaza pia
February 6, 2012 at 1:12 pm |
Ebhana nahitaji kutangaza blog yangu
June 11, 2012 at 6:43 am |
Me abdul nimejiunga na blog hii.
June 11, 2012 at 9:54 am |
Mambo wana blog me mzima.
March 5, 2013 at 9:47 am |
dawson robozi ninaomba mwongozo wa kujiunga na blog hii ili niweze kutoa taarifa mbalimbali na elimu katika jamii nitashukulu sana nipo kagera open university of tanzania
March 19, 2013 at 10:36 am |
I want to join
April 30, 2013 at 8:34 pm |
abwa kaka we uko juu hakuna mpinzani juu yako
May 6, 2013 at 3:39 pm |
Wanablogu nielekezeni namnayakufungua akaunti ya google