Kama umeandika habari ambayo umeitoa labda kwenye tovuti ya shirika la habari la BBC au kwenye blogu, badala ya kuibandika habari nzima unaweza kuweka kiunganishi/kiungo ili msomaji abonyeze juu ya kiunganishi/kiungo hicho na kupelekwa kwenye chanzo cha habari hiyo. Bonyeza hapa usome maelezo ya jinsi ya kufanya.