MIMI

Ninaitwa Ndesanjo Macha. Pamoja na mambo mengine, mimi ni mwanablogu na mwanaharakati wa mtandao wa tarakilishi na uandishi wa umma. Ninatumia teknolojia ya blogu kusaidia kusafisha fikra zetu Waafrika kwa habari, elimu, maoni, na maarifa. Ninapenda wewe nawe uwe mwanablogu, uwe na uwanja wako wa kuwasiliana na wengine, kutoa habari, maoni, na elimu.

Ukiwa na swali lolote kuhusu teknolojia ya kublogu, wasiliana nami kwa anuani hii:

ughaibuni@yahoo.com

(tafadhali kwenye sehemu ya "subject" andika: mwongozo wa wanablogu) 

Ninapatikana hapa:

http://jikombe.com

http://jikomboe.blogspot.com

http://digitalafrica.blogspot.com

http://cyber.law.harvard.edu/globalvoices/author/ndesanjo-macha/

53 Responses to “MIMI”

  1. Salum Kulunge Says:

    samahani bro Macha nami naomba mwongozo ili nifungue blogu hapa chuoni Mweka Tanzania ili niweze kupata maneno yahusuyo wanyamapori wa Tanzania na Africa.

  2. ndesanjo Says:

    Salum Kalunge, tafadhali nipe anuani yako.

  3. Bertram Lwabulala Says:

    Please! Can you help me to link my web with other user/web owners. I fail to search through different engine such as Google and yahoo.

  4. Justin Kasyome Says:

    Hey bro mimi niko hapa Kigoma Tanzania naomba mwongozo namna na kublogu na kujiunga mtandaoni ili nitoe changamoto ya habari ktk ulimwengu huu wa utandawazi.

  5. Charles Mwakyagi Says:

    I want to become a blogger.

  6. Andrew Kasero Says:

    naomb unisaidie niweze kuwa na blog. ushauri wako ni mzuri

  7. Charles Mwakyagi Says:

    Thank you I have got my registration since April 13th, 2007.

  8. Suleiman Serera Says:

    Hello bro.Hongera sana kwa uyafanyayo,umenivutia mno naomba unitumie muongozo nataka kuwa mwanablogu tuweze changia changamoto mbalimbali kwa pamoja.Nipo Dar.Keep it Up!

  9. Theonest Bahemuka Says:

    Naomba kujiunga na wanablogu ili niweze kupata maoni mbali mbali jinsi na namna ya kuanzisha miradi kama ya shule za msingi na sekondari hapa Tanzania

  10. olesja Says:

    american red cross volunteer dental assistant program

  11. Rashid Says:

    Hi Bro Macha! Nipo hapa Libya ninasoma chuo kimoja kinaitwa Islamic call college,ninahitaji msaada wa jinsi ya kufungua blog ninajitahidi mpaka ninapata blog ila tatizo ni kuandika katika hiyo blog. Nadhani umenielewa nisaidie.

  12. Ulinda Ulinda Says:

    habari kaka macha,nipo hapa dar nimevutiwa mno na mambo ya blogu hivyo nipatie mwangozo tafadhali nami nianzishe yangu kuwahabarisha wengine.
    nisaidie tafadhali.

  13. avi09 Says:

    DDGirs com,

  14. avrille Says:

    youporn tv,

  15. Mponjoli D.Mponjoli Says:

    salama kaka we mwanamapinduzi wa ukweli.endeelea kusaidia kizazi cha afrika kwani kuna umuhim wa kufanya mapinduzi ya ubongo kwa vijana wa Afrika kwa njia ya blog.hongera sana

  16. Mathias Says:

    Naomba maelezo jinsi ya kufungua blogu

  17. Dr kihhagaTraditional medicine Says:

    Habari za kazi,mr ndesanjo macha,naomba unipe mwongozo wa kujiunga na blogu na niwe napata taarifa mbali2 za tiba za asili na niweze kuwa mwanachama ktk huduma yako nzuri ya blogu.Nitashukuru sn kwa msaada,kwa mawasiliano zaidi napatikana ktk no.0754018763

  18. GEOFREY MODEST MUSHEMA Says:

    Hallow kaka Ndesanjo, habari za kazi na pole na pilikapilika za kila iitwayo leo. mimi ni kjana wa kitanzania ambaye naweza kujiita mlevi wa uduma za mtandaoni. kwa kweli napenda kujielimisha na hata kuwaelimisha watu wengine kile kidogo ninachoamini kinafaa kuiwafikia. nimejaribu kufungua blogspot yangu mimi mwenyewe lakini nadhani kuna vitu au jambo nilikosea hivyo lengo langu halikufanikiwa kwa kiwango kikubwa. maana haifunguki mpaka iwe niwe nimefungua ukurasa wa face book.na mbaya zaidi siwezi kuweka taharifa wala kitu chochote kingine. naomba msaada wa kuniwezesha nami kuwa mwanablog mwenye blog yangu ambayo itakuwa na archive ya blog za watu wengine ambao ningependa kuwashirikisha wasomaji wangu. nashukuru iwapo ntapata msaada huo na kama mawasiliano ya simu yanahitajika napatikana pia kwa namba za simu hizi:-0715721020/0787721020/0764721020/0774721020.

  19. nurman Says:

    naomba unitumie mwongozo nami niwe na blog yangu

  20. francis kulwa Says:

    kaka habari za kaz, mimi naitwa francis nipo Tabora, naomba msaada wako kwani nahitaji kuanzisha blog yangu na nimeshindwa, naomba mwongozo ili niweze kufungua. email yangu ni fkulwa@rocketmail.com

  21. Michael Karoly Says:

    naomba unitumie mwongozo nami niwe na blog

  22. joseph mkenya Says:

    nahitaji kufungua blog itayohusisha masoma hapa chuoni, tatizo ni kwamba ni kifungua inakuwa shida kwa watu wengine kuchangia au kuifungua nahitaji msaada wako bro

  23. Kidanga ally Says:

    Nataka kufungua email lakini nashindwa naomba unisaidie kwa hili

  24. Peter nyange Says:

    Samahani naomba unisaidie ninapotaka kuwa na email unafanyaje?

  25. Jack Says:

    Naitwa Jack naomba unisaidie kufungua blog. Nipo Dar es salam

  26. Paulo John Says:

    naomba kujiunga niwe na blog

  27. Gadna Says:

    Habari ya kazi bro pole kwa shuhuli nilikuwa naomba muongozo jinsi ya kujiunga na bloog yako kama utajali

  28. Elias B Mtambalike Says:

    Nisaidie nifungue email yangu

  29. Ramadhansaida Says:

    Maendeleo kwa ujumla

  30. mage Says:

    hongera wazili kwa kujihudhuru

  31. mage Says:

    naomba nisaidie namna ya kuwa na website yangu

  32. Mage Chale Says:

    mungu awabaliki watanzania wote kwa kuwa ni wakalimu na niweye kujali maisha ya wengine lakini waaotuchafulia jina la TANZANIA NI WALA WANAOFANYA MAOVO MBALI MBALI KAMA UJAMBAZI MAUJI KAMA YANAYOTOKEA TABORA NA MIKOA MINGINE KWA IMANI ZA KISHIRIKINA KUTOITENDEA VYEMA TANZANIA WATU WENYE TABIA HIZO WAACHE KWANI KILA BAYA LINAMWISHO WAKE

  33. Mage Chale Says:

    Tunahitaji vijana wote kumkumbuka mungu siku za ujana wetu kwasababu miaka hii ni ya hatari sana kuna manabii wa uongo wanaowadanganya watu wengi kutokana na kutokuwa na msimamo na imani zao mungu tubariki wote.

  34. Nicolaus kajale Says:

    Luv u bro

  35. Oscar mmoro Says:

    I want this service

  36. Hassan Kombo Hassan Says:

    HABARI ZA MAJUKUMU Naomba unisaidie niweze kuwa na fecebook na E-mail ninapotuma haziendi au bado hajakamilika nakuomba nisaidie tafadhali Asante

  37. joheki Says:

    POLE NA KAZI BRO NAITWA JOSEPHINE KISIMA naomba unisaidie niweze kufungua blog yangu ya kampuni kwa ajili ya matangazo na shughuli za kijamii pia johekiltdco@gmail.com

  38. Hemedi Kigessa Says:

    …Kaka hongera sana kwa mchakato unaoufanya.Nimevutiwa nao sana,nami kawa kijana wa Kitanzania nahitaji kuijua kiundani teknolojia hiyo. Ntashkuru ukinitumia muongozo…
    Harakati njema.

  39. rachel Says:

    naomba unisaidie namna ya kuwa na website yangu ili niweze elimisha jamii kwa ujumla, mambo ya kimwili na kiroho.

  40. rachel Says:

    pole kwa kazi naomba unisaidie niweze kufungua blog yangu ya kampuni kwa ajili ya matangazo na shughuli za kijamii pia rachelcharles47@yahoo.com

  41. HENRY sanga Says:

    naomba unisaidie namna ya kujiunga na emely nipo mbeya henry zakayo

  42. Benatus kahuru Says:

    Iwant tobe amember

  43. MSHANA Says:

    mimi naomba unielekeze namna ya kujiunga na wanablogu

  44. MSHANA Says:

    NAOMBA UNIELEKEZE NAMNA YA KUJIUNGA NA WANABLOGU ILI NAMI NIWEZE KUCHATI.EMAIL YANGU NI kaabi92@mshana.com

  45. rachel Says:

    hi, nami ningependa kufahamu namna ya kujiunga na kwenye blog ili nami niweze kuelimisha jamii kwa ujumla…

  46. MSHANA Says:

    HABARI ZENU WAPENDWA

  47. Daudi magori Says:

    Nisaidie nami

  48. Saidyahyasultan Says:

    Na mm naomba unipe huo muongozo ili niweze kutumia blog vizuri

  49. Feisal Says:

    O

  50. James mwaipyana Says:

    Naitwa james mwaipyana nashindwa jinsi ya kufungua email

  51. Ziyun Says:

    ninayo blog yangu ila inakuwa ngumu kuandika habari.. naomba msaada kwa hilo

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Connecting to %s


Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

%d bloggers like this: